

Winfred's profile and their contact details have been verified by our experts
Winfred
- Price $37
- Answer 1h

$37/h
1st lesson free
- Swahili
Mimi ni Mkenya na Kiswahili ni lugha yangu ya mama. Katika ulimwengu wa sasa, watu wengi wameisahau lugha yetu hivyo basi niko hapa kukumbusha na kufunza wale wanao tamani kuiongea.
- Swahili
Lesson location
About Winfred
Nimeongea Kiswahili katika kukua kwangu. Shule pia nimefunzwa Kiswahili mpaka kidato cha nne kama ilivyo desturi ya nchi yangu. Naipenda na ijapokuwa niko katika nchi ambayo watu hawaongei Kiswahili siwezi isahau lugha yangu. Hiyo ndio sababu kuu nataka kuifunza sababu watoto wengi wa kutoka nchi za Afrika Mashariki wanazaliwa huku na hawapati nafasi ya kufunzwa lugha yao.
About the lesson
- Primary School
- High School
- Year 10
- +19
levels :
Primary School
High School
Year 10
Year 11-12
Year 12
TAFE
Adult
Undergraduate
Diploma/Certificate
Postgraduate
PhD
A1
A2
B1
B2
C1
C2
Beginner
Intermediate
Advanced
Professional
Kids
- English
All languages in which the lesson is available :
English
Naweza kukufunza kuongea, kusoma na hata kuandika. Kama lugha nyingine ile, Kiswahili ni lugha pana sana na kuna nyanja nyingi za kujielimisha; kuanzia kwa ngeli mpaka fasihi. Jiunge nami katika safari hii ya kuikuza lugha na nakuhakikishia utaipenda na kufurahia wakati wako.
Rates
Price
- $37
Pack prices
- 5h: $185
- 10h: $370
online
- $37/h
free lessons
The first lesson with Winfred will allow you to get to know each other and discuss your needs for future lessons.
- 1hr
Similar Swahili tutors in Stoke-on-Trent
KHABELWA
Killarney & online
- $15/h
- 1st lesson free
Flossy
Sydney & online
- $20/h
- 1st lesson free
Stephen
Toongabbie & online
- $34/h
- 1st lesson free
Edna
& online
- $15/h
- 1st lesson free
Frank
Melbourne & online
- $24/h
- 1st lesson free
Dottie
Perth & online
- $20/h
- 1st lesson free
Robin
Potts Point & online
- $27/h
- 1st lesson free
Nathan
Fitzroy & online
- $19/h
- 1st lesson free
Robin
Geelong & online
- $27/h
- 1st lesson free
Nia
Crawley & online
- $25/h
- 1st lesson free
Eliya
Burwood & online
- $15/h
- 1st lesson free
Marie
Melbourne
- $40/h
- 1st lesson free
HEKIMA
& online
- $10/h
- 1st lesson free
Marrion
Toongabbie & online
- $20/h
- 1st lesson free
Ahmed
Caroline Springs & online
- $150/h
- 1st lesson free
Joshua
Aveley & online
- $17/h
- 1st lesson free
Steward
Salisbury East & online
- $30/h
- 1st lesson free
Ian
Payneham South & online
- $26/h
- 1st lesson free
Faith
Metford & online
- $28/h
- 1st lesson free
Michel
Cardiff & online
- $27/h
- 1st lesson free
-
More Swahili teachers
