

Mwanaidi's email address and phone number have been validated.
Mwanaidi
- Price $16
- Answer 1h

$16/h
1st lesson free
- Swahili
**Teaching Experience:** I have been teaching Kiswahili to friends and tourists for 2+ years. I focus on real conversation, useful words, and Kenyan culture. My students say my classes are fun and e
- Swahili
Lesson location
About Mwanaidi
Habari! Mimi ni msabaha . Ninatoka Kenya na napenda kuwasaidia watu kuzungumza Kiingereza na Kiswahili kwa ujasiri. Katika masomo yangu tutafanya:
Mazungumzo ya kufurahisha kuhusu mada unazozipenda
Kujifunza maneno mapya na kurekebisha makosa ya sarufi
Kufanya mazoezi ya kuzungumza bila woga
Kujifunza Kiswahili pia ikiwa unataka
Mimi ni mvumilivu, rafiki na nita kurekebisha kwa njia nzuri. Hakuna msongo, hakuna vitabu vya kuchosha. Ni mazungumzo na kujifunza tu .
Ikitaka kujua zaidi, weka nafasi ya somo la majaribio na tuanze safari yako ya Kiingereza na Kiswahili!
Je, umeshachoka na madarasa ya Kiingereza yasiyo na mvuto? Tuonane! Nita kusaidia kujifunza Kiingereza kwa njia rahisi na ya kufurahisha. Tuchat kuhusu muziki, filamu, soka, maisha—chochote unachokipenda! Nita kusaidia na maneno mapya na nikurekebishe kwa njia rafiki.
Fikiria ukizungumza Kiingereza na Kiswahili kwa ujasiri ndani ya miezi mitatu! Hiyo inaweza kuwa wewe. Weka nafasi ya somo lako la kwanza leo. Tuanzishe safari yako ya Kiingereza na Kiswahili pamoja!
About the lesson
- Primary School
- High School
- Year 10
- +4
levels :
Primary School
High School
Year 10
Year 12
TAFE
Beginner
Adult
- English
All languages in which the lesson is available :
English
Hello! I'm Mwanaidi but you can call me Salim
I'm from Kenya and I'm here to help you learn **Kiswahili** in a fun and easy way!
**In my classes we will:**
- Daily Conversation - Mazungumzo ya kila siku
- Swahili for Travel & Business - Kiswahili cha safari na biashara
- Learn Culture - Kujifunza utamaduni wa Kenya & Tanzania
**My teaching style:**
Relaxed, friendly, and full of talking. We will laugh, make mistakes, and learn together. No stress!
Karibu darasani! Let's start your Kiswahili journey today.
Rates
Price
- $16
Pack prices
- 5h: $80
- 10h: $161
free lessons
The first lesson with Mwanaidi will allow you to get to know each other and discuss your needs for future lessons.
- 1hr
online
- $16/h
Similar Swahili tutors in Nairobi
KHABELWA
Killarney & online
- $15/h
- 1st lesson free
Flossy
Sydney & online
- $20/h
- 1st lesson free
Stephen
Toongabbie & online
- $22/h
- 1st lesson free
Edna
& online
- $15/h
- 1st lesson free
Frank
Melbourne & online
- $24/h
- 1st lesson free
Robin
Geelong & online
- $27/h
- 1st lesson free
Dottie
Perth & online
- $20/h
- 1st lesson free
Robin
Potts Point & online
- $27/h
- 1st lesson free
Nathan
Fitzroy & online
- $19/h
- 1st lesson free
Ian
Payneham South & online
- $26/h
- 1st lesson free
Nia
Crawley & online
- $25/h
- 1st lesson free
Eliya
Burwood & online
- $15/h
- 1st lesson free
Marie
Melbourne
- $40/h
- 1st lesson free
HEKIMA
& online
- $15/h
- 1st lesson free
Marrion
Toongabbie & online
- $20/h
- 1st lesson free
Ahmed
Caroline Springs & online
- $150/h
- 1st lesson free
Joshua
Aveley & online
- $17/h
- 1st lesson free
Steward
Salisbury East & online
- $30/h
- 1st lesson free
Faith
Metford & online
- $28/h
- 1st lesson free
Rigobert
Champigny-sur-Marne, France & online
- $56/h
- 1st lesson free
-
More Swahili teachers
